Mkutano wa biashara kati ya mataifa ya Afrika na Dubai
Wakuu wa nchi, zaidi ya mawaziri 30, maafisa wa ngazi za juu serikalini na viongozi mashuhuri kutoka Afrika wamethibitisha kuhudhuria mkutano wa awamu ya sita wa Jukwaa la Biashara la Afrika (GBF Africa) utakaofanyika Oktoba 13- 14, 2021 katika Expo 2020 Dubai.