Miaka 8 baada ya shambulizi la Westgate
Jumamosi ya tarehe 21 mwezi Septemba, duka la jumla la Westgate Mall lilishambuliwa na watu waliokuwa na silaha kali na kuwaua watu 72 na kuwaacha wengine wengi na majeraha.