Inaumaa! Ghana yabanduliwa nje ya michuano ya AFCON
Mabingwa mara nne Ghana waliondolewa kwenye AFCON baada ya kuchapwa 3-2 na Wacomoro katika Kundi C Jumanne mjini Garoua.