Zaidi ya hekta 550 za msitu wa Aberdare zaharibiwa na moto, KFS imethibitisha
Moto huo ulizuka Jumamosi usiku, kulingana na afisa anayefanya kazi katika Shirika la Huduma kwa Wanyamapori nchini (KWS)