Tiktok Yazindua ‘Tiktok For Artists’ Nchini Kenya
Kupitia jukwaa hili, wasanii wa Kenya wanaweza kufuatilia utendaji wa nyimbo zao, kuelewa hadhira yao kwa undani, na kupanga mikakati ya masoko kwa usahihi zaidi.