Maajabu makubwa ya nane ya Dunia
Kuvuka kwa nyumbu katika mto Mara kutoka hifadhi ya Serengeti hadi ya Maasai Mara imeorodheshwa nambari nane katika orodha ya Maajabu Makubwa ya Dunia.