Kenya yashinda tuzo ya World Travel Awards kama sehemu bora ya utalii barani Afrika
Hii ni mara ya saba mfululizo kwa Kenya kutambuliwa kama kituo kikuu cha utalii wa wanyamapori katika tuzo za WTA
Hii ni mara ya saba mfululizo kwa Kenya kutambuliwa kama kituo kikuu cha utalii wa wanyamapori katika tuzo za WTA
Kuvuka kwa nyumbu katika mto Mara kutoka hifadhi ya Serengeti hadi ya Maasai Mara imeorodheshwa nambari nane katika orodha ya Maajabu Makubwa ya Dunia.