Kenya: Mwili mwingine yapatikana mto Yala
Mwili huo umepatikana mida ya saa kumi na mbili jioni na familia ambayo ilikuwa inasaka jamaa yao aliyekuwa ametoweka na aliyekuwa ameripotiwa kuzama katika mto huo wiki chache zilizopita.