WAKIMBIZI WA AFGHANISTAN WAENDELEA KUHAMISHWA
Marekani hadi sasa imefaulu kuwahamisha takriban waafghan 4000 na familia zao wanaoshikilia pasipoti za Marekani.
Marekani hadi sasa imefaulu kuwahamisha takriban waafghan 4000 na familia zao wanaoshikilia pasipoti za Marekani.
Business was not as usual Wednesday 25th/ 08/ 2021 near the French Embassy along Ali Hassan Mwinyi Road in Dar es Salaam, Tanzania, as an unknown gunman went on a shooting rampage.
Zanzibar kujenga jumba la kihistoria lenye ghorofa 70 katika kisiwa cha Chapwani Mjini Unguja.
Makundi maalum yaani ‘key populations’ huchangia katika maambukizi mapya ya ugonjwa wa Ukimwi. Mwanahabari wetu @medzamaureen alizungumza na mwanaharakati wa makundi ya LGBTQ na watu wanaoishi na VVU kuhusiana na mchango wao katika kuangamiza janga la Ukimwi
Mataifa 163 yanashiriki michezo ya Paralympics mwaka huu huku wanariadha 4,400 wakishiriki katika michezo 22.