Yafichuliwa: Kampuni ya Kifahari ya Uarabuni (UAE) Yahusishwa na Uwindaji Haramu Tanzania
Rekodi rasmi za mauzo ya nje ya Tanzania zilizopatikana kutoka kwenye kanzidata ya biashara ya kimataifa zinaonyesha kuwa mwaka 2023, OBC ilisafirisha shehena 72 za nyama ya wanyama pori, au bushmeat, kutoka Tanzania