Mfahamu zaidi rais wa mwisho mweupe wa Afrika Kusini FW de Klerk
FW de Klerk alisaidia kukomesha enzi ya ubaguzi wa rangi Afrika Kusini, na akawa mmoja wa manaibu marais wawili baada ya uchaguzi wa vyama vingi mwaka 1994 ambao ulishuhudia Bw Mandela akiwa rais