Watuhumiwa wawili wa ugaidi na askari wawili wafariki kwenye ajali nchini Tanzania
Ajali hiyo ilihusisha gari namba T.691 DBQ Scania, likiwa na tela namba T.865 mali ya Kampuni ya Nyanza Bottling, likiwa linatokea Mwanza lililogongana na gari namba PT.3798 Toyota Landcruiser mali ya Jeshi la Polisi.