Mbowe amkumbuka Mrema kwa uthubutu wake kwenye misimamo ya kazi
Amesema Mrema alikuwa ni kiongozi ambaye alikuwa akikosoa na kupinga pale panapostahili na kusukuma vita ya kutafuta haki, demokrasia, uhuru na maendeleo ya Watanzania kupitia vyama vya siasa.