Rais Wiliam Ruto anaelekea London kutoa heshima za mwisho kwa Malkia
Rais Ruto atakuwa miongoni mwa wageni mashuhuri watakaohudhuria mazishi ya Malkia wa Uingereza.