Rais Samia:Zama za ugomvi katika siasa ziishe twendeni na hoja za maana.
Rais Samia ameyasema hayo leo Jumatatu Januari 10, 2022 huko Unguja, visiwani Zanzibar wakati wa kilele cha matembezi ya vijana kuadhimisha miaka 59 ya mapinduzi matukufu ya Zanzibar zilizoandaliwa na Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM),ambapo yeye akiwa mgeni rasmi.