Prof: Nyagori: Membe amefariki kwa maradhi ya kawaida.
Taarifa hiyo ya daktari inakuja kipindi ambacho kumekuwepo na taarifa za uvumi katika mitandao ya kijamii kuhusu chanzo cha kifo chake.
Taarifa hiyo ya daktari inakuja kipindi ambacho kumekuwepo na taarifa za uvumi katika mitandao ya kijamii kuhusu chanzo cha kifo chake.
Mwili wa aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Benard Membe unatarajiwa kuhifadhiwa kwenye nyumba yake ya milele Mei 16, mwaka huu katika kijiji cha Londo mkoani Lindi.