Wafuasi Wa Kasisi Ezekiel Wakusanyika Nje Ya Mahakama wakitaka Aachiliwe
zaidi ya watu 110 wamefukuliwa katika Msitu wa Shakahola, Pwani ya kenya na mwinjilisti huyo maafufu amehusishwa pakubwa na maafa hayo
zaidi ya watu 110 wamefukuliwa katika Msitu wa Shakahola, Pwani ya kenya na mwinjilisti huyo maafufu amehusishwa pakubwa na maafa hayo
Zaidi ya Watu 110 wameuawa shakahola,kilifi na mkewe Mackenzie Amehusishwa pakubwa na maafa hayo
Maswali yameibuka kuhusu jinsi mchungaji huyo mwenye historia ya itikadi kali ameweza kukwepa utekelezaji wa sheria licha ya wasifu wake maarufu
Wachunguzi pia watachukua sampuli za DNA kusaidia utambuzi, ingawa matokeo kamili yanaweza kuchukua miezi