Maandamano Kenya: Nairobi Expressway Yasitishwa Kwa Muda Baada Ya Kuharibiwa Kwa Kuta Zake
Sehemu ya Nairobi Expressway mnamo Jumatano, Julai 12, alifungwa kwa muda baada ya waandamanaji wanaopinga serikali kuharibu baadhi ya sehemu maeneo ya mlolongo, Kaunti ya machakos.