Tanzania kuendesha kampeni ya chanjo ya Polio kwa mikoa sita inayopakana na Zambia na Burundi.
Tanzania inajiandaa kufanya kampeni ya utoaji wa chanjo ya Polio Virus 2 (CVDPV2) katika Mikoa 6 inayopakana na nchi za Zambia na Burundi ambapo zoezi hilo limepangwa kufanyika mwezi Septemba na Novemba Mwaka huu 2023 ili kuwakinga watoto.