UTAFITI: Waliowekewa betri ya moyo wana hatari kupata changamoto ya akili
Utafiti huo uliofanywa na Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), ulihusisha wagonjwa sita ambao wamewekewa betri hiyo baada ya kufanyiwa vipimo vya mtambo mkubwa uitwao CathLab.