TBS yapiga marufuku uagizaji wa mitungi ya mtumba ya gesi asili kwa ajili ya magari
Shirika la Viwango Tanzania (TBS), limewataka wauzaji na wasambazaji wa gesi asilia kwa ajili ya matumizi ya magari, pamoja na vifaa vinavyohusika katika mfumo wa gesi hiyo, kuzingatia ubora wa viwango vinavyohitajika vya vifaa hivyo, ili kulinda afya na Maisha ya watumiaji wa bidhaa hiyo.