Wanne wafariki nchini Kenya katika mkanyagano kutokana na hofu ya ya gesi ya kutoa machozi
Wanawake wanne wamefariki dunia katika mkanyagano magharibi mwa Kenya leo Ijumaa baada ya umati wa watu kuogopa mlio uliotokana na kumwagika kwa chai ya muuzaji mmoja kwenye moto wakidhanini ni gesi ya kutoa machozi .