Tume Ya Uchaguzi Na Mipaka Nchini Kenya (IEBC) Yaibua Vita Vya Kisiasa Kati Ya Rais Ruto Na Raila
Rais William Ruto ameteua jopo la wanachama saba ambalo litasimamia mchakato wa kuwachagua makamishana na mwenyekiti wa IEBC.
Rais William Ruto ameteua jopo la wanachama saba ambalo litasimamia mchakato wa kuwachagua makamishana na mwenyekiti wa IEBC.
Wagombea 18 wanawania kiti cha Urais kumrithi rais anayeondoka Muhammadu Buhari, ila watatu pekee ndio wameonekana kuwa mibabe
Gavana wa Embu Cecily Mbarire ameteuliwa kama mwenyekiti wa chama cha United Democratic Alliance (UDA) Chake rais William Ruto.
Viongozi wa kidini na wale wa kisiasa serikalini wamejitokeza kushtumu uamuzi huo wa mahakama ambao wameutaja kama kinyume na mila na desturi
Kukosekana kwa baadhi ya wapambe wa Raila katika mikutano ya hadhara kumeibua maswali mengi
Duru za kuaminika kutoka ofisi ya Umoja wa Afrika (AU) zinadai kuwa Odinga “Kufutwa kazi” kulitokana na kile kinachotajwa kama msururu wa siasa ambazo waziri huyo mkuu wa zamani wa Kenya amekuwa akifanya nchini humo.
Matiang’i alitakiwa kufika katika ofisi za DCI Ijumaa 24,2023 kuhojiwa kuhusu madai ya maafisa wa polisi kuvamia nyumbani kwake mtaani Karen Jijini Nairobi.
Raila amezidi kusisitiza sava za tume ya uchaguzi nchini Kenya (IEBC) zifunguliwe,Ila Rais Ruto naye amemjibu akisema kuwa sava zipo wazi kwa kila mmoja kuangalia matokeo ya uchaguzi mkuu wa 2022.
Taarifa ya kustaafu kwake Odinga ilitangazwa na mwenyekiti wa tume ya Umoja wa Afrika Moussa Faki Mahamat.
Ruto alikuwa anamjibu odinga ambaye aliipa serikali ya Rais Ruto makataa ya siku 14 kupunguza gharama ya maisha la sivyo ataandaa maandamano kote nchini Kenya.