Ripoti ya mkaguzi mkuu wa Hesabu Zanzibar yaonesha dosari kwenye matumizi ya umma
Ripoti ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu CAG Zanzibar imebainisha kuendelea kwa vitendo vya ufisadi katika wizara, taasisi na mashirika mbalimbali ya umma.
Ripoti ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu CAG Zanzibar imebainisha kuendelea kwa vitendo vya ufisadi katika wizara, taasisi na mashirika mbalimbali ya umma.
Haya yanajiri baada ya Mahakama ya Ajira na Mahusiano ya Kazi kuamuru chama cha wafanyakazi na serikali kuja na kanuni inayokubalika ya kurejea kazini kufikia Jumatano.
Wafanyakazi wa Shirika la ndege la Kenya Airways waliokuwa wamekamatwa katika nchi ya Kidemokrasia ya Congo wameachiliwa huru, afisa mwandamizi kutoka wizara ya mambo ya nje nchini Kenya amesema.
“Huenda Kenya ikakabiliwa na kimbunga cha kwanza kabisa
Kabla ya Uteuzi wake, jenerali Kahariri alikuwa naibu Mkuu wa majeshi ya ulinzi Kenya
Benki ya Dunia imesitisha ufadhili wa mradi mkubwa wa utalii nchini Tanzania kwa madai kuwa umesababisha mateso miongoni mwa maelfu ya wanakijiji.
The British government’s controversial plan to send asylum seekers to Rwanda has finally been approved by Parliament earlier on Tuesday.
Madaktari madkatrai nchini Kenya wametishia kuacha kufanya uchunguzi wa maiti na kujaza kujaza fomu za P3 iwapo polisi watahujumu na kuwazuia kufanya maandamano yao.
Kiongozi huyo wa ODM ameitaka Serikali kuwalipa wahudumu wa matibabu, kuangalia ada na mishahara ya madaktari wanaoendelea na masomo zaidi na kushughulikia kusitishwa kwa huduma zao bila utaratibu.
WanaJeshi wanaotawala Mali umeamuru kusimamishwa mikutano zote za kisiasa kote nchini, ukisema kuwa hatua hiyo inahitajika ili kudumisha utulivu na amani ya raia.