Chadema Chaahidi Ushindi Chaguzi Zijazo
Mkutano Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Jimbo la Mbeya vijijini umemchagua Getruda Japhet Lengesela, kuwa Mwenyekiti wa Chama hicho Jimbo (Mbeya vijijini)
Mkutano Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Jimbo la Mbeya vijijini umemchagua Getruda Japhet Lengesela, kuwa Mwenyekiti wa Chama hicho Jimbo (Mbeya vijijini)
Hosts Ivory Coast put a disastrous group campaign behind them on Monday to beat holders Senegal 5-4 on penalties and book an Africa Cup of Nations quarter-final against Mali or Burkina Faso.
Timu ya taifa stars ya Tanzania itashuka dimbani usiku wa leo dhidi ya Vijana kutoka DR congo katika mchuano wa kufa mtu ambayo Tanzania lazima washinde ili kufuzu raundi ya 16 bora ya muondoano.
Maandamano ya Chadema inazidi kuchacha moto nchini Tanzanaia.Tayri maeneo kadha yameshuhudia idadi kubwa ya waandamanaji ikiwemo Mbeya na Dar Es Saalam.
CHADEMA, Jimbo la Vwawa Mkoani Songwe kimepata uongozi mpya kwa ajili ya kuongoza Chama hicho kwa kipindi cha miaka mitano ambapo kimeahidi kuwaunganisha wanachama na wananchi ambao ndio chanzo cha nguvu ya umma.
Timu ya taifa ya soka ya Tanzania Taifa Stars, leo Jumatano itakabiliana na Morocco katika kipute cha AFCON,katika uwanja wa Laurent Pokou,San Pedro saa mbili usiku.
Ikiwa imesalia chini ya masaa 24 kwa kindumbwendubwe cha Michuano ya ubingwa wa bara Africa AFCON, kuanza nchini ivory Coast, baadhi ya wachezaji wanaonekana kubeba matumani ya mataifa yao katika kipute hicho.
Human Rights Watch, an international organization that defends human rights, has accused the international community of what it has said has made little contribution to resolving wars and conflicts in countries in the Horn of Africa, especially in the past year.
Kesi ya mauaji ya halaiki iliyowasilishwa na Afrika Kusini dhidi ya Israel katika Ukanda wa Gaza inasikilizwa, leo Alhamisi, Januari 11, na pia Ijumaa, mbele ya Mahakama ya Kimataifa ya Haki huko Hague (ICJ), nchini Uholanzi.
Shirika la reli nchini Kenya Railways, limetangaza nyongeza ya nauli za treni.