Katibu Mkuu wa Umoja Wa Kimataifa Antonio Guterres Ahofia Hatari zaidi Gaza
Hadi sasa, wizara ya afya imesema watu 8,525 wameuawa Gaza huku 3,500, miongoni mwa hao ni watoto.
Hadi sasa, wizara ya afya imesema watu 8,525 wameuawa Gaza huku 3,500, miongoni mwa hao ni watoto.
Maafisa wa KWS kutoka wizara ya masitu na mazingiza, Jamii ya Kereita na Shirika La WOOSH imeanza upandaji miche kote nchini Kenya kwa mpango ulioitwa #MitiMilioniMoja.
Kumalizika kwa 8-4-4 kunapisha Mtaala wa CBC (Competency-Based Curriculum) yenye mfumo wa 2-6-6-3.
Ni muhimu sana kwangu kukutana na baadhi ya wale maisha yao na jamii zao ziliathiriwa pakubwa na dhuluma hizo
The United Nations Security Council has endorsed Kenya’s proposal to lead Multinational Security mission in Haiti, in response to the Caribbean nation’s prime minister’s request for help to restore order.
Kenya Muslim National Advisory Council (KEMNAC) has called for the criminalization of Gay rights activism saying anyone championing homosexuality rights is propagating evil in the society.
Ikiwa pendekezo la Cheragei litatimia, itamaanisha kwamba kiongozi wa Kenya anaweza kuhudumu kwa jumla ya miaka 14 kwa urais wa mihula miwili.
The song also had catchy phrases like ‘mnatuona nyani’ (you perceive us to be monkeys) which is a lyric questioning why Tanzanians are arrested when they demand answers from the government.
Mwakilima anasema ni haki ya kila mtu kutoa maoni juu ya nchi yake bila kuvunja sheria za nchi na kwamba.
Bingwa wa Dunia wa mbio za mita 10,000 Gudaf Tsegay amevunja rekodi ya dunia ya mita 5000 iliyowekwa na Faith Kipyegon kwenye mbio za Diamond League iliofanyika Jimbo La Oregon , Marekani.