Africa Imehimizwa Kutumia Nishati Jadidifu
Viongozi wa Afrika wametaka mabadiliko makubwa katika mfumo wa fedha wa kimataifa na kuihimiza jumuiya ya kimataifa kuunga mkono ongezeko la nishati jadidifu.
Viongozi wa Afrika wametaka mabadiliko makubwa katika mfumo wa fedha wa kimataifa na kuihimiza jumuiya ya kimataifa kuunga mkono ongezeko la nishati jadidifu.
Wakenya wanaopenda bidhaa za Uchina sasa wana sababu ya kutabasamu baada ya Uchina kuzindua kinywaji chake cha kitamaduni maarufu kama Fenjiu
Otieno tested positive for the banned anabolic steroid methasterone and was suspended from the Tokyo Games in 2021 moments before he was due to compete in the 100m heats.
Tume ya Udhibiti wa Mchezo wa ndondi ya kimataifa Tanzania (TPBRC) imemsimamisha kwa muda bondia maarufu Karim ‘Mtu kazi’ Mandonga kwa ajili ya kupimwa afya yake katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili.
Yevgeny Prigozhin mwenye umri wa miaka 62, mkuu wa mamluki wa Urusi Wagner, amejipatia umaarufu kutokana na mchango wake katika vita vya Ukraine
Ikumbukwe ndani ya siku nane, Mandonga amepigana mapambano mawili na amepoteza yote
Sehemu ya Nairobi Expressway mnamo Jumatano, Julai 12, alifungwa kwa muda baada ya waandamanaji wanaopinga serikali kuharibu baadhi ya sehemu maeneo ya mlolongo, Kaunti ya machakos.
Ghasia zilizuka katika uwanja wa Kamukunji jijini Nairobi baada ya maafisa wa polisi wa kupambana na waandamanaji kujitokeza katika ukumbi…
Kiongozi wa azimio Raila Odinga ametangaza rasmi kuwa siku ya Jumatano tarehe 12/7/2023, kikosi chake kitarejea tena uwanajani
Madaktari katika Hospitali ya Kaunti Ndogo ya Malindi katika Kaunti ya Kilifi wamekuja na ubunifu ambao utasaidia kupunguza Kuvuja damu kwa PostPartum yaani PPH miongoni mwa wanawake.