Mke Wa Mhubiri Tata Paul Mackenzie Akamatwa Kilifi
Zaidi ya Watu 110 wameuawa shakahola,kilifi na mkewe Mackenzie Amehusishwa pakubwa na maafa hayo
Zaidi ya Watu 110 wameuawa shakahola,kilifi na mkewe Mackenzie Amehusishwa pakubwa na maafa hayo
Mtandao wa African Cybersmart umeundwa ili kuimarisha elimu kwa umma na kukuza tabia salama za mtandaoni kwa kuwezesha kujenga uwezo kupitia mafunzo, ushirikiano na kubadilishana maarifa kati ya wahamasishaji wa usalama wa mtandao
Nyumba zake zote, magari, nguo, na vito vyake vyote vilipatikana kuwa katika jina la mama yake, na mamilioni ya mshahara yaliwekwa kwenye akaunti zenye jina la mama yake
Kongamao hilo lilihudhuriwa na majaji wakuu kutoka mataifa yote ya Afrika
Ameratibiwa kufika mahakamani kuhusiana na tuhuma na kashfa ya kumlipa pesa mcheza filamu za ngono kabla ya uchaguzi wa mwaka 2016.
Misururu zaidi ya michezo ya ndondi yamepangwa kote nchini Kenya kama sehemu moja ya kukuza umaarufu na ushirikishaji wa jamii katika fani hio.
Morocco inakuwa timu ya pili barani Afrika kuwai kuishinda Brazil katika historia ya soka duniani
Bondia Mtanzania, Karim Mandoga ‘Mtu Kazi’ amshinda Kenneth Lukyamuzi wa Uganda kwa pointi za majaji wawili baada ya pambano kali la raundi 8
Pigano linalosubiriwa kwa hamu na gamu dhidi ya mandonga nan a mganda Kenneth Lukyamuzi litapeperushwa moja kwa moja kuanzia saa moja usiku kutoka ukumbi wa Kasarani Gymnasium.
Rais William Ruto ameeleza ni kwa nini alikubali watu 50 aliowachagua kwa nyadhifa za mawaziri wasaidizi