CCTV Yaonyesha Jinsi Mkenya Irvo Otieno Alivyouawa Marekani
Otieno alikamatwa na maafisa wapolisi marekani kutokana amri ya dharura kwa kuwa ana ugojwa wa akili jambo lililokuwa likimfanya kuwa na fujo wakati mwingine
Otieno alikamatwa na maafisa wapolisi marekani kutokana amri ya dharura kwa kuwa ana ugojwa wa akili jambo lililokuwa likimfanya kuwa na fujo wakati mwingine
Kiungo wa kati wa Manchester city Kevin De Bruyne amethibitishwa kuwa nahodha mpya wa timu ya taifa ya Ubelgiji kufuatia kustaafu kwa Eden Hazard.
Wabunge kutoka chama cha tawala cha UDA sasa wanataka muungano wa Azimio la Umoja kuwajibikia uharibifu ulioshuhudiwa wakati wa maandamano makubwa yaliyofanyika Jumatatu.
Maandamano yakiendelea kuchacha nchini Kenya, nchini Afrika Kusini polisi mambo ni kama hayo baada ya waandamanaji kujitokeza katika miji kadha katika taifa hilo.
Wengine kama vile Kiongozi wa Wachache katika Bunge la Seneti Stewart Madzayo na mwenzake wa bunge Opiyo wandayi wamekamatwa na polisi.
Yanga imeandika Historia baada ya kutinga hatua ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho Kwa mara ya kwanza, mafanikio makubwa waliyokuwa nayo ilikuwa ni kuishia hatua ya makundi.
klabu ya Simba imefuzu hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa barani Afrika baada ya kulabua Horoya ya Guinea magoli 7-0
Watu zaidi ya 7 wameripotiwa kuuawa kwa kupigwa risasi kwenye jumba la mikutano la Jehovah Witness katika jiji la Hamburg kaskazini mwa Ujerumani.
Bunge la Georgia kwa kauli moja limepiga kura ya kuutupilia mbali mswada tata iliyokuwa imeipitisha hapo awali.
Kiongozi wa upinzani nchini Kenya Bwana Raila Odinga ametangaza rasmi kuanzishwa kwa maandamano kuupinga utawala wa Rais William Ruto