Kenyan MPs to vote on bill seeking to regulate surrogacy
According to the Assisted Reproductive Technology Bill, 2022, women wanting to be surrogates will be required to wait for two years between each birth to be eligible for another agreement.
According to the Assisted Reproductive Technology Bill, 2022, women wanting to be surrogates will be required to wait for two years between each birth to be eligible for another agreement.
Some people waited 12 hours in line to vote in presidential and legislative polls, billed as the toughest yet for the South West Africa People’s Organisation (SWAPO) party, in power since Namibia’s 1990 independence from South africa.
The East African country has been deluged by heavy rains in past days, with the government issuing a national disaster alert after reports of flooding and landslides.
Taarifa kwa umma iliyotolewa leo Alhamisi, Novemba 28, 2024 na Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya Nje wa Chadema, John Mrema, imesema kikao hicho kitaongozwa na Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe
Changamoto kadhaa zimesikika katika baadhi ya maeneo hapa nchini juu ya uchaguzi huo ikiwemo majimbo ya Tunduma na Momba Mkoani Songwe pia huko mkoani Mwanza ambako baadhi ya wananchi wamekosa majina yao kwenye orodha ya wapiga kura na hivyo kuamua kurudi makwao kuendelea na shughuli zao nyingine.
Visa vya mauji madai ya wizi na kutoweka kwa vifaa vya kupigia kura vimeshudiwa.
Haikuthibika mapema Ndugulile alikuwa anaugua nini, japo taarifa zinasema alifariki alipokuwa akipokea matibabu nchini India, kwa mujibu wa Spika wa Bunge la Tanzania Dkt. Tulia Ackson.
Rais Ruto alibainisha kuwa amejitolea kuunga mkono maendeleo ya makanisa na kuenea kwa Ukristo kwa kutoa pesa
Kiongozi Mstaafu wa chama cha ACTwazalendo, Zitto Kabwe akizungumza wakati wa mkutano wa kuwanadi wagombea wa chama hicho katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Kasulu Mjini Mkoani
Dkt Omollo Ametoa mfano wa mikasa iliyopita kama vile mashambulizi yaliyotekelezwa eneo la Westgate, Mpeketoni, Chuo Kikuu cha Garissa na jengo la Dusit, akiongeza kuwa mashambulizi hayo yanaashiria matishio yanayolikumba taifa hili kutokana na itikadi kali za kidini.