Vijana wawili kati ya wanne waliotekwa nchini Kenya wapatikana wamekufa
Mutumwa alikuwa ametoweka mnamo Desemba 16, 2024, pamoja na Mwau na Karani Muema. Kwa zaidi ya mwezi mmoja, familia zao zilikuwa zikitafuta majibu kuhusu kutoweka kwao.
Mutumwa alikuwa ametoweka mnamo Desemba 16, 2024, pamoja na Mwau na Karani Muema. Kwa zaidi ya mwezi mmoja, familia zao zilikuwa zikitafuta majibu kuhusu kutoweka kwao.
Kagame says its priority in eastern DRC is to destroy the FDLR, formed from remnants of the forces which committed the 1994 genocide.
SAMIDRC “is not a peacekeeping force, and it has no place in this situation”.
”We will not sideline anyone. We will work together and ensure everyone gets justice”
Gunshots rang out on Tuesday through parts of the besieged DR Congo city of Goma, where Congolese soldiers have clashed with militia fighters backed by Rwandan troops, while furious protesters attacked embassies in the capital Kinshasa.
Hosts Morocco face giantkillers Comoros in the opening match of the 24-team tournament on December 21 while title-holders Ivory Coast will come up against five-time winners Cameroon.
Shujaa has been placed in a tough Pool A, where they will face Argentina, Paris Olympic champions France, and Great Britain.
Danilo left Juventus on Monday after both the Brazil defender and the Serie A club announced that his contract had…
Rais wa Kenya William Ruto ameteua jopo la watu tisa walio na jukumu la kuwasaili na kuwachuja watakaokuwa kwenye nafasi za Uenyekiti na makamishna wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC).
Waasi wa kundi la M23 wameingia kwenye kitovu cha mji mkuu wa jimbo la Kivu Kaskazini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Goma, masaa kadhaa baada ya kutangaza kutwaa udhibiti wa mji huo muhimu.