Hoja ya kujadili mienendo ya Rais wa Kenya William Ruto yatua bunge la Seneti
Seneta wa Kaunti ya Makueni Dan Maanzo, anahoji kuwa Ruto amekiuka Katiba katika masuala mengi, ikiwa ni pamoja na kushindwa kuwalinda Wakenya dhidi ya ukatili wa polisi kwa mujibu wa sheria.