Mama Akamatwa Baada Ya Watoto Wake Kupatikana Bila Vichwa Huko, Guadeloupe
Mwanamke mmoja alikamatwa na kisha kusafirishwa katika hospitali ya wagonjwa wa akili siku ya Jumanne baada ya watoto wake wawili wachanga kupatikana wakiwa wamekatwa kichwa katika eneo la ng’ambo la Karibea la Guadeloupe nchini Ufaransa, kulingana na mwendesha mashtaka.