Kylian Mbappe atawazwa rasmi mchezaji wa Real Madrid
Baada ya ngoja ngoja ya muda mrefu, hatimaye Mfaransa Kylian Mbappe ametambulishwa mbele ya mashabiki 80,000 wa Real Madrid kwenye…
Baada ya ngoja ngoja ya muda mrefu, hatimaye Mfaransa Kylian Mbappe ametambulishwa mbele ya mashabiki 80,000 wa Real Madrid kwenye…
Kocha wa timu ya taifa ya England Gareth Southgate amejiuzulu siku mbili baada ya kushindwa na Hispania kwenye fainali ya…
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Julai 05, 2024 amezindua Kamati ya Kitaifa ya Maandalizi ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON 2027) na kuahidi kuwa Serikali itafanya nayo kazi kwa karibu ili iweze kufanikisha malengo ya Tanzania kufanya vizuri kwenye michuano hiyo.
Bekele, 41, last competed in the Games in London in 2012 when he finished fourth in the men’s 10,000m before being overlooked for the 2016 and 2020 Olympics.
Kenya’s sports ministry had said in April it would be closing Nairobi’s two main stadiums and another in Eldoret for renovations to prepare for the 2027 AFCON which Kenya will host jointly with Tanzania and Uganda.
Katika nafasi ya pili, bingwa huyo aliweza kufuatiwa kwa karibu na Muingereza Jemma Reekie (1:58.42), Benin Noelie Yarigo wa uingereza (1:58.70) katika nafasi ya tatu, Muethiopia Habitam Alemu (1:59.08) katika nafasi ya nne na bingwa wa dunia mwaka 2019 Halimah Nakaayi kutoka Uganda (1:59.48) akatwaa nafasi ya tano, mtawalia. Mbio hizo ziliwahusisha wanariadha 11.
In the adrenaline-fueled world of Kenyan motorsport, one name stands out as a driving force behind the pursuit of excellence:
As the WRC Safari Rally Kenya kicks off amidst a flurry of excitement and anticipation, all eyes are on the dynamic duo, Josiah Kariuki and John Ngugi, who are primed to make waves in this thrilling motorsport spectacle
Mechi hiyo ya robo fainali ya ligi ya mabingwa Afrika, itachezwa saa 3 usiku, hivyo kulingana na muda huo uongozi wa Yanga umeamua kuwapunguzia gharama mashabiki wake.
“We have now reinstated the sports fund to deal with only matters [of] sports,” says Kenya’s President William Ruto, adding…