Search
Close this search box.
Features

Maonyesho ya 45 ya Kimatafa ya Biashara maarufu kama maonyesho ya Sabasaba yamefunguliwa Julai 5, 2021 na yatafungwa ifikapo Julai 13 2021 nchini Tanzania.Maonyesho hayo yamefunguliwa rasmi na Makamu wa Rais wa Tanzania Dk. Philip Mpango, huku kauli mbiu katika maonyesho haya kwa mwaka huu ni Uchumi wa Viwanda kwa Ukuzaji wa Ajira na Biashara Endelevu.Kila mwaka hufanyika maonyesho haya ambayo hujumuisha wafanyabishara wa aina tofauti kutoka sehemu mbalimbali nchini Tanzania lakini pia kumekuwa na  vivutio vya michezo mbalimbali.

Comments are closed