Je, Kilimo cha Protini Kutoka kwa Wadudu Kina Faida Gani?

Gharama ya malisho ya mifugo imeonekana kuwa na faida ndogo kwa wakulima katika siku za hivi karibuni, hata kufanya wengine kuwachana na kilimo. Lakini kundi moja la vijana,wanaonekana kupata suluhu ya gharama ya malisho kwa bei nafuu na kwa njia mwafaka.

Kundi hilo linalojiita Zihanga Limited limeanzishisha kilimo ya ufugaji wa wadudu wanaofahamika kama black soldier fly ambayo wanatumia kupata protini na mbolea isiyo na madini.
Tazama: