Amerika, Texas: Wahamiaji 46 wapatikana wamekufa kwenye trela
Takriban wahamiaji 46 walipatikana wamekufa Jumatatu ndani na karibu ya lori kubwa la trela ambalo lilitelekezwa kando ya barabara nje kidogo ya jiji la Texas la San Antonio.