Wanawake wa Afghanistan wapinga agizo la Taliban kufunika nyuso na vazi la burqa
Akhundzada pia aliamuru mamlaka kuwafuta kazi wafanyikazi wa serikali wa kike ambao hawafuati kanuni mpya ya mavazi, na kuwasimamisha kazi wafanyikazi wa kiume ikiwa wake na binti zao watakosa kufuata sheria hizo.