Kuwait yapiga marufuku filamu ya ‘Death on the Nile’ inayomshirikisha mwigizaji wa Israel Gal Gadot
Watumiaji wa mitandao ya kijamii walihoji jinsi Gadot alivyolisifu jeshi la Israel na kukosoa vuguvugu la Kiislamu la Palestina Hamas wakati wa vita vya 2014 huko Gaza.