Algeria inaadhimisha miaka 60 ya uhuru kutoka kwa Ufaransa
Algeria ilijipatia uhuru wake kufuatia vita vikali vya miaka minane, ambavyo vilimalizika kwa kutiwa saini kwa Mkataba wa Evian mnamo Machi 1962.