Mkenya azuiliwa DR Congo kwa shambulio la bomu kanisani na kusababisha vifo vya watu 10
Tukio hilo la Kasindi, karibu na mpaka wa Uganda lilisababisha vifo vya watu 10 na liliacha takriban watu wengine 39 kujeruhiwa
Tukio hilo la Kasindi, karibu na mpaka wa Uganda lilisababisha vifo vya watu 10 na liliacha takriban watu wengine 39 kujeruhiwa
Kundi la ADF ni miongoni mwa wanamgambo wenye ghasia zaidi kati ya zaidi ya wanamgambo 120 ambao hupatikana mashariki mwa DRC.
Takriban watu 20 wameuawa katika mauaji mapya katika jimbo la Ituri mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Shambulio hilo lilitokea Jumapili jioni huko Bulongo katika jimbo la Kivu Kaskazini
Katika shambulio la hivi punde la waasi, watu 16 waliuawa 7 kujeruhiwa na magari yalichomwa wakati wa uvamizi wa usiku katika eneo lenye hali tete la mashariki, Shirika la Msalaba Mwekundu lilisema
Ofisi ya rais wa Kenya ilisema Alhamisi kwamba viongozi hao walikuwa wakitafuta kuanzisha kikosi cha kikanda ili kukomesha makundi ya waasi wanaoendesha shughuli zao katika eneo hilo.