Mke wa Ali Kiba adai talaka
“Mlalamikiwa (Ali Kiba) amefanya mzaha kwa ndoa yetu kwa kujihusisha bila heshima katika maonyesho ya hadharani ya uzinzi na wanawake mbalimbali bila kujali kabisa hisia za mlalamishi,” Khalef anasema