Wachimba migodi wavumbua almasi inayoaminika kuwa kubwa zaidi kuwahi kupatikana katika miaka 300
Almasi hiyo adimu imepewa jina ‘Lulo Rose’ iligunduliwa katika mgodi wa Lulo nchini Angola na Kampuni ya Lucapa Diamond.