Ivory coast kuanza kutumia unga wa muhogo kuoka mkate
Huku bei ya ngano ikiendela kupanda kutokana na vita nchini Ukraine, waokaji mikate Ivory Coast wanaanza kutumia unga wa muhogo kuoka mkate.