Misri yaichabanga Cameroon 3-1 na kutinga fainali ya AFCON
Katika fainali Jumapili, Mo Salah atakuwa anakutana na mwenzake wa Liverpool, Sadio Mane, huku Mafarao hao wakiwinda taji la nane la michezo hii ya AFCON