Nigeria: Polisi waokoa makumi ya watu wakiwemo watoto waliokuwa wakizuiliwa kanisani
Polisi wa Nigeria wamewaokoa makumi ya watu, wakiwemo watoto, kutoka kwenye chumba cha chini cha kanisa ambako walikuwa wameambiwa wangojee kile walichoamini kungekuwa ujio wa pili wa Kristo