Mahakama ya Morocco yawafunga jela wahamiaji 33 wa Melilla
Takriban wahamiaji 23 walikufa baada ya takriban watu 2,000, wengi kutoka Sudan, kuvamia mpaka huo tarehe 24 Juni ikiwa ni idadi kubwa zaidi ya vifo kuwahi kutokea
Takriban wahamiaji 23 walikufa baada ya takriban watu 2,000, wengi kutoka Sudan, kuvamia mpaka huo tarehe 24 Juni ikiwa ni idadi kubwa zaidi ya vifo kuwahi kutokea
Takriban wahamiaji 23 ambao walikufa mwezi uliopita katika jaribio la kuingia katika eneo la Uhispania la Melilla kutoka Morocco huenda “walikosa hewa,’ shirika la kutetea haki za binadamu la CNDH lilisema.