Densi ya Rumba yaorodheshwa kama turathi inayolindwa na UNESCO
“Rumba ni utambulisho wetu! Kutambuliwa kwake kimataifa ni fahari na hazina kwetu.” alisema waziri wa utamaduni wa DRC Catherine Furaha.