Mahamat Idriss Deby, kiongozi wa Chad,ataja wabunge 93 wa bunge la mpito.
Mahamat Idriss Deby, kiongozi wa jeshi la serikali ya Chad, ametaja wabunge 93 wa bunge la mpito miezi mitano baada ya kujitangaza kuwa kiongozi wa nchi.