Kimbunga Emnati kimesababisha vifo vya watu wanne nchini Madagascar
Madagascar hukabiliwa na dhoruba nyingi na vimbunga kati ya Novemba na Aprili kila mwaka.
Madagascar hukabiliwa na dhoruba nyingi na vimbunga kati ya Novemba na Aprili kila mwaka.
Madagascar hukabiliwa na dhoruba na vimbunga vingi kati ya Novemba na Aprili kila mwaka.
Shirika la WHO likinukuu makadirio kutoka kwa mamlaka ya kitaifa, lilisema takriban watu 595,000 wanaweza kuathiriwa moja kwa moja na Batsirai, na wengine 150,000 wanaweza kuyahama makazi yao kwa sababu ya maporomoko ya ardhi na mafuriko.